ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, October 7, 2016

MAGUFULI AWAJIA JUU WALIOHODHI ARDHI, WAZIRI MKUU AKUTANA NA MADEDE CDA, UKATILI CHANZO CHA MWANAFUNZI KUSHAMBULIWA KINYAMA.


Magufuli awajia juu waliohodhi ardhi, Waziri mkuu akutana na madudu CDA, Ukatili: Chanzo mwanafunzi kushambuliwa kinyama. Pata dondoo za magazeti ya leo hapa. 


Sukari ya Bakhresa iachiwe TPA, Video ya walimu katili yazua balaa, Magufuli kutangaza kiama mwezi ujao, Walimu 4 wakatili wafukuzwa chuo.

CUF hatarini kufutiwa usajili, Mawaziri 3 washusha rungu kipigo cha mwanafunzi, Magufuli amtishia mtoto wa dada yake. Pata dondoo za magazeti ya leo hapa. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.