ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, October 24, 2016

HATIMAYE EMMANUEL MWASASUMBE AZINDUA ALBUM YAKE 'WALET YA YESU'

Mwimbaji wa muziki wa injili Emmanuel Mwasasumbe mwishoni mwa wiki (jumapili) alifanya uzinduzi wa video album yake inayoitwa 'Walet ya Yesu' katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kwa mvuto wa aina yake.
Emmanuel Mwasasumbe. 
Katika pozi mwanamuziki Emmanuel Mwasasumbe akiwa na mmoja wa waimbaji wa crew yake.
Eneo la waumini na marafiki waliohudhuria tamasha la Mwimbaji wa muziki wa injili Emmanuel Mwasasumbe ambaye mwishoni mwa wiki (jumapili) alifanya uzinduzi wa video album yake inayoitwa 'Walet ya Yesu' katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kwa mvuto wa aina yake.
The style.
Mtumishi wa Mungu Mchungaji Chege akizindua album ya mwimbaji wa muziki wa injili Emmanuel Mwasasumbe ambaye mwishoni mwa wiki (jumapili) alifanya uzinduzi wa video album yake inayoitwa 'Walet ya Yesu' katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kwa mvuto wa aina yake.

Uzinduzi.
Sasa ni wakati wa kuzindua rasmi.
Eneo la waumini na marafiki waliohudhuria tamasha la Mwimbaji wa muziki wa injili Emmanuel Mwasasumbe ambaye mwishoni mwa wiki (jumapili) alifanya uzinduzi wa video album yake inayoitwa 'Walet ya Yesu' katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kwa mvuto wa aina yake.
Meza kuu.
Derick Ndonge (kushoto) alikuwa sehemu ya wanamuziki wasindikizaji waliohudhuria tamasha la Mwimbaji wa muziki wa injili Emmanuel Mwasasumbe ambaye mwishoni mwa wiki (jumapili) alifanya uzinduzi wa video album yake inayoitwa 'Walet ya Yesu' katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kwa mvuto wa aina yake.
Meza kuu.
The album
The crew.
Eneo la waumini na marafiki waliohudhuria tamasha la Mwimbaji wa muziki wa injili Emmanuel Mwasasumbe ambaye mwishoni mwa wiki (jumapili) alifanya uzinduzi wa video album yake inayoitwa 'Walet ya Yesu' katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kwa mvuto wa aina yake.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.