ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, October 16, 2016

DIWANI KITETO ANUSURIKA KIFO.

Diwani wa kata ya Kaloleni ambae pia ni mjumbe wa chama cha mapinduzi, amenusurika kifo baada ya kundi la vijana wa kabila la wamasai wenye silaha kali kumshambulia kwa silaha za kijadi. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.