ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, October 30, 2016

DIANA EDWARD LUKUMAI NDIYE MISS TANZANIA 2016-2017.

Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward akiwa na washindi wanne wa kwanza katika kinyang'anyiro cha Miss Tanzania 2016 jiji Mwanza usiku wa kuamkia leo.


Washiriki wa shindano la Miss Tanzania 2016, wakiwa katika Opening Dance kinyang'anyiro cha Miss Tanzania 2016 kilichofanyika jiji Mwanza usiku wa kuamkia leo.
Kiafrika zaidi ndani ya shindano.
Ubunifu wa hali ya juu.
Selebuka.
Msanii wa muziki wa Ragga, Cooly Chata akifanya yake katika jukwaa la kinyang'anyiro cha Miss Tanzania 2016 jiji Mwanza usiku wa kuamkia leo.
Watu wamejitokeza kiasi kikubwa.
Ubunifu na avazi................
Mchuano ulikuwa mkali sana.
Moja ya mavazi yalio tikisa.
Mavazi na ubunifu.
So beautifully
Zaidi ya ubunifu.
Beautiful.
Beautiful colour.
Hii ndiyo jiografia ya engo ya viwanja vay Furahisha katika kinyang'anyiro cha Miss Tanzania 2016 jiji Mwanza usiku wa kuamkia leo.
Jimmy Chansa
Umdhaniaye .....hayawi hayawi
Ni mmoja tu...............
Top 15 wanatajwa ile hali wa-tano wao wanatinga hatua hiyo kwa sifa za kufuzu kupitia ubalozi wa mashirika na makampuni mbalimbali waliyoshirikiana nayo katika zama za maandalizi kueekea gainali.
Top 15 ndiyo hawa.
Top 5 ndiyo hii 
Majaji kikazi zaidi.
Christian Balla
F&P Flora na rafiki yake Pamela nao ni sehemu ya Kamati ya maandalizi ya Miss Tanzania 2016.
Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela (kulia mbele) akiwa na rafiki yake Kamanda wa Jemshi la polisi mkoa wa Mwanza Afande Msangi.
Meza hii ndipo alipoketi Mkurugenzi wa Jembe Media Group Dr. Sebastian Ndege (katikati mwenye tai) , Wema Sepetu na Eddie Jembe (kulia) .

Baada ya kumalizika kwa maswali, majibu sasa ikawa ni fursa ya mrembo aliyekuwa anashikilia taji.

Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward akipungia mkono wadau baada ya kutajwa kuibuka mshindi katika kinyang'anyiro cha Miss Tanzania 2016 kilichofanyika Rock City jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo.

Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward akiwapungia Mkono wanachi mara baada ya kuvishwa taji la Miss Tanzania 2016.

 Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward akiwapungia Mkono wanachi mara baada ya kuvishwa taji la Miss Tanzania 2016.

Watu na kumbukumbu zao.
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia James Wambura  akimkabidhi ufunguo Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward mara baada ya kuibuka Mshindi wa Miss Tanzania 2016.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.