ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, September 4, 2016

FX STUDIO MWANZA SASA RASMI NDANI YA GSENGO BLOG.

Wakihusika na uchukuwaji wa matukio mbalimbali kwa njia ya video, iwe utengenezaji wa video za muziki wa aina zote, huduma kwa matukio ya harusi, mikutano na makongamano jibu sasa ni Fx Studio.

Pia Fx Studio wakiwa na vifaa bora vya kisasa wanaandaa na kutengeneza vipindi na makala kwa njia ya video ikiwa ni sambamba na matangazo ya video na filamu.

Hawajaishia hapo tu Fx Studio wanatoa taarifa kwa wadau wote Kanda ya Ziwa kwamba wanapiga picha za aina zote Upigaji picha za studio (Studio Photography), Picha za matukio ya harusi (Wedding Photography) na Picha kwa matukio (Event Photography)

Vipi kwa wale wanaopenda tatoo za kijanja? Basi mpango mzima ni Fx Studio kwani wanapiga tattoo za black & white na zile za rangi na michoro mikaliii...

Aidha kwa wale wanaohitaji huduma ya uchapishaji wa kava za CD, DVD, Business Card, Bronchures, Stickers, Banners, na Card za aina zote mzigo unafanyika ndani ya Fx Studio walioko barabara ya Bantu karibu na Salma cone jijini Mwanza.

Kwa sasa Gsengo Blog inafanya kazi kwa ukaribu sana na Fx Studio.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.