ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, September 28, 2016

PICHA ZA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA KWIMBA NA SUMVE PAMOJA NA WADAU WA ULINZI NA USALAMA.

Kikao cha Baraza la Madiwani kwaajili ya kupitisha hesabu za Halmashauri ya Kwimba mkoani Mwanza pamoja na Kamati ya Ulinzi na usalama ya wilaya kimeketi leo wilayani humo.
MAELEZO YA PICHA YAJA................








Ni mara baada ya kumalizika kwa kikao cha Baraza la Madiwani wa kata za Jimbo la Kwimba pamoja na wadau Kamati za ulinzi na usalama lililo wakilishwa pia na Mbunge wa jimbo husika Mhe. Shanif Mansoor (wa kwanza kulia) na Mbunge wa Jimbo la Sumve Mhe. Richard Ndasa (katikati).
PICHA ZOTE NA ZEPHANIA MANDIA.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.