Warembo washiriki wa kinyang'anyiro cha Ozona Miss Lake Zone 2016 wakiwa katika pozi kwenye Red Carpet ya Jembe Fm leo ikiwa ni ziara ya kukitembelea kituo hicho cha redio jijini Mwanza. |
Kwa umakini warembo hao walipata nafasi kuzijua shughuli zinazofanywa na kituo. |
Another angle ya warembo ambao fainali watakutana kwenye jukwaa moja Rock City Mall Mwanza jumamosi hii ya tarehe 10 September 2016. |
Smile. |
Meza kuu ya Jembe Fm Mwanza na warembo wa kinyang'anyiro cha Ozona Miss Lake Zone 2016. |
Sasa ni zamu ya kugundua vipaji vingine vya sauti na maufundi ya kucheza na sauti kwa warembo hao. |
Ndani ya chumba cha kutia sauti. |
Warembo washiriki wa kinyang'anyiro cha Ozona Miss Lake Zone 2016 walitinga pia ndani ya studio za Jembe Fm na kukuta kipindi cha Kazi na Ngoma kikiwa hewani. |
Mmoja wa watangazaji wa kipindi cha Kazi na Ngoma Mansour Jumanne akitoa maelezo kwa Warembo washiriki wa kinyang'anyiro cha Ozona Miss Lake Zone 2016 jinsi shughuli zinavyofanyika. |
Maelezo Kwa kina zaidi.... |
Balozi wa Jembe Fm ambaye ni Rais wa TMC (Team Maua Classic) Bob White Pamba (katikati) akiwa Warembo washiriki wa kinyang'anyiro cha Ozona Miss Lake Zone 2016 |
Balozi wa Jembe Fm ambaye ni Rais wa TMC (Team Maua Classic) Bob White Pamba (katikati) akiwa Warembo washiriki wa kinyang'anyiro cha Ozona Miss Lake Zone 2016 |
Viwango ni baadhi ya washiriki kinyang'anyiro cha Ozona Miss Lake Zone 2016 |
Dj Scorpion toka Jembe DJZ akiwa katika pozi (katikati) na Warembo washiriki wa kinyang'anyiro cha Ozona Miss Lake Zone 2016. |
David ni cameraman wa Flora Talent Promotions naye kanaswa na picha la kibabe. |
Ni chini ya udhamini wa .......... |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.