ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, September 27, 2016

MAALIM SEIF AFANYA KIKAO MAALUM UNGUJA.

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif 

Wakati Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akijiandaa kuzungumza  na wafuasi wake leo  jijini hapa, Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif naye yupo kwenye kikao maalum kinachoendelea hivi sasa Vuga, Unguja.

Juzi, Msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi juzi aliandika barua inayomtambua Profesa Lipumba kuwa Mwenyekiti wa chama hicho hali iliyowakusanya wafuasi wake  katika ofisi za chama hicho Buguruni na baadaye mwanasiasa huyo kuingia katika ofisi yake.

 Mwandishi wetu aliyeko eneo la tukio sasa hivi anaendelea kutujuza yanayojiri.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.