ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, September 5, 2016

JESHI LA POLISI LAKAMATA MTANDAO WA MAJAMBAZI DSM

Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata mtandao wa majambazi na shehena ya silaha.

Bunduki 23 za kivita.
Risasi 853
Sare za polisi 
Pingu 48
Pamoja na Radio call 12 ambazo zimekuwa zikitumika katika matukio mbalimbali ya unyang'anyi katika jiji la Dar es salaa na mikoa ya jirani.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.