Je, ni lini serikali itakamilisha ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Shinyanga? Naibu waziri Selemani Jafo akitolea ufafanuzi swali mbunge Azah Hamad;
Kwanini Serikali isifute michezo shuleni? Waziri Nape Nnauye akitoa ufafanuzi wa swali mbunge wa Kilolo Mhe.Venance Mwamoto.
Soko la zao la Tumbaku. Je, ni lini serikali itasaidia upatikanaji wa soko wa zao la tumbaku kwa wakulima wa mkoani Mara?
Je, ni lini serikali itaboresha vituo vya afya vya jeshi? Naibu waziri wa afya Hamisi Kigwangalla ajibu swali la mbuge Saada Mkuya.
Je, kwanini serikali imeshindwa kujenga mahakama katika jimbo la Mbagala? Waziri Mwakyembe ajibu swali mbunge Issa Mangungu;
Je, serikali inafikiria nini kuhusu kutoa elimu kwa umma kuhusu simu feki? Waziri Prof.Mbarawa ajibu swali la mbunge Mahonda Mhe.Bahati Abeid.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.