ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, August 31, 2016

UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI YA LEO August 31, 2016


Kodi ya simu yazaa matunda, JWTZ sasa kutoka kivingine Sept 1, Professa Mbarawa:  JPM ni mtu wa kazi kweli kweli, Lowassa aamua kuvunja ukimya , JWTZ: Kesho tutarusha ndege za kivita kutoa salamu. Furahia uchambuzi wa magazeti ya leo hapa.


 Lowassa: Magufuli amekata mkono wa amani, Polisi wapiga kambi makao makuu ya CHADEMA, Lowassa sasa atuma waraka polisi kwa CCM. Pata dondoo za magazeti ya leo hapa. 

Siku 35 za UKUTA VS serikali,  Lowassa aandika waraka jinsi polisi lilivyo kata mkono wa amani, makusanyo kodi za simu yapanda mara 5, serikali yajibu hoja mbili za Kitwanga. Habarika na dondoo hizi hapa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.