ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, August 30, 2016

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AMJULIA HALI MTOTO WA MWANAHABARI.

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto) akimjulia hali mwanafunzi wa Darasa la 4 wa Shule ya Msingi ya Mount Kibo ya Mbezi Beach ya Jijini Dar es Salaam, David Kamoga , anayepatiwa matibabu katika Taasisi ya Tiba, Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI), Baada ya kujeruhiwa kwa kugongwa  na Gari aina ya Hiace eneo la Tegeta Namanga, kulia ni baba wa mtoto huyo, Hudson Kamoga. 


(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.