ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, August 25, 2016

BARCELONA YASAJILI KIPA TOKA AJAX.

 Barcelona imekamilisha usajili wa kipa Jasper Cillessen kutoka Ajax ya Uholanzi.

Kipa huyo anatua Barcelona kuchukua nafasi ya Claudio Bravo ambaye anajiunga na Man City.

Barcelona imemwaga pauni million 12 kumpata kipa huyo kinda ambaye anaelezwa kuwa ana kipaji hasa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.