ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, July 11, 2016

YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO July 11, 2016.


SIMU.tv: Miili ya watu tisa waliokufa maji baada ya boti waliokuwa wakitumia kuzama maji mto Ruvuma yapatikana.


SIMU.tv: Askari wa jeshi la magereza nchini wametakiwa kuacha mara moja vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu ndani ya magereza. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.