ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, July 5, 2016

WACHEZAJI 10 WALIOCHEZA MICHUANO YA EURO 2016 WAKIWA KWENYE MFUNGO WA RAMADHAN

Sami_Khedira_euro_2012
Duniani kote kwa sasa waislamu wanafanya ibada ya kutimiza moja kati ya nguzo zao tano za imani ya dini yao ya kiislamu, huu  ni mwezi mtukufu wa Ramadhani na waislamu wote duniano hulazimika kufunga kama sehemu ya ibada yao, inawezekana uwaka hujui mtu wangu ila nakuletea TOP 10 ya mastaa wa soka ambao wanacheza mechi za Euro 2016 wakiwa wamefunga.
1- Emre Can
GettyImages-497052854.0
Anaichezea timu ya taifa ya Ujerumani
2- Xherdan Shaqiri
hi-res-88a6869f97490d756b2a149980836889_crop_north
Huyu pia anaichezea timu ya taifa ya Switzerland ambayo tayari imetolewa
3- Granit Xhaka
495519489
Anaichezea timu ya taifa ya Switzerland ambayo imetolewa mapema katika michuano ya Euro 2016
4- Bacary Sagna
article-2394450-1B4C8BD3000005DC-641_634x423
Bacary Sagna huyu anaichezea timu ya taifa ya Ufaransa
5- Arda Turan
arda-turan-1441321285945
Arda Turan anaichezea timu ya taifa ya Uturuki ambayo ilishatolewa katika michuano ya Euro 2016
6- Paul Pogba
2024052_w2
Paul Pogba bado timu yake ya taifa ya Ufaransa ipo katika michuano ya Euro 2016
7- Stephan El Shaarawy
97282
Stephan El Shaarawy anaichezea timu ya taifa ya Italia ambayo imetolewa katika hatua ya robo fainali na Ujerumani.
8- Mesut Ozil
mesut-ozil-germany-georgia_1veserrcdsn9czft17ivnsie8
Ozil anaichezea timu yake ya taifa ya Ujerumani na bado ipo katika michuano ya Euro 2016
9- Nuri Sahin
1702887_full-lnd
Timu yake ya taifa ya Uturuki ilishatolewa katika michuano ya Euro 2016
10- Sami Khedira
Sami_Khedira_euro_2012
Anaichezea timu ya taifa ya Ujerumani ambayo imeingia katika hatua ya nusu fainali.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.