ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, July 12, 2016

PICHA: MWANZA YAMUUNGA MKONO MHE. ANGELINA MABULA HARAMBEE YA KUCHANGIA ELIMU JIMBO LA ILEMELA.

Mgeni rasmi wa Changizo la Elimu Jimbo la Ilemela, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Ashatu Kijaji akihamasisha wadau juu ya umuhimu wa kuchangia elimu.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela akitoa hamasa kwa wahudhuriaji wa Changizo la Elimu wilaya ya Ilemela lililoandaliwa na Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Ilemela mama Angelina Mabula na kuratibiwa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela pamoja na Jembe Fm Mwanza. 
BOFYA PLAY KUMSIKILIZA


Naibu waziri wa Ardhi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mhe. Angelina Mabula akitoa muhtasari wa hatua za uchangiaji elimu jimboni kwake ikiwa ni sanjari na kuainisha ofisi yake itachangia nini kuboresha mazingira ya elimu, katika usiku wa VIP's ulio ratibiwa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela pamoja na Jembe Fm Mwanza.
BOFYA PLAY KUMSIKILIZA
CRDB wakiwasilisha hundi ya shilingi Milioni 5.
Meneja wa Kampuni ya SBC Nicolous Coertz (kushoto) akikabidhi hundi yenye thamani ya shilingi milioni 40 kwa Naibu waziri wa Ardhi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mhe. Angelina Mabula, ili utumike kuboresha mazingira ya Elimu Ilemela.
Kulia ni Meya mstaafu wa Manispaa ya Ilemela Henry Matata akiwa na mfanyabiashara maarufu Mwanza Mr. Munanka Chacha Gitano.
Wabunge mbalimbali wa majimbo ya Kanda ya Ziwa pia wamejumuika kwenye hafla hii.
Makampuni.
Waandishi wa habari Mwanza.
Wafanyabiashara na wawekezaji.
Mwanza Cosmopolitan City ndani ya Usiku wa Changizo la Elimu jimbo la Ilemela.
Wafugaji nao wamejitokeza.
Cash..........Ikipokelewa na Mgeni rasmi wa Changizo la Elimu Jimbo la Ilemela, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Ashatu Kijaji

Familia ya Baba Mabula nayo ilichangia harakati hizo za Jimbo.
Pamoja na fedha DSTV pia imetoa kingine kikubwa zaidi......
Mfanyabiashara maarufu Mwanza Mr. Munanka Chacha Gitano,hakusita wala kuwa na shaka kwani alikuwa mstari wa mbele kuhakikisha zoezi linafanikiwa.
Mwanahabari Kheri James ambaye ni Katibu Tawala mpya wa wilaya Hai akiisalimia meza kuu waliyoketi Mgeni rasmi wa Changizo la Elimu Jimbo la Ilemela, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Ashatu Kijaji (kulia), Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela na Mbunge wa Jimbo la Ilemela Angelina Mabula.
Naomba kuwasilisha.
Burudani ya Peter Msechu.
The angle.
Mbunge wa Jimbo la Ilemela ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi mama Angelina Mabula (kushoto) akipongeza kamati yake na hapa yuko na Mkurugenzi wa Jembe Media Group & Company Dr. Sebastian Ndege, ni katika Usiku wa wana-Ilemela kuchangia Elimu.
Wadau wa siasa na wafanyabiashara.
Burudani ya Jembe ni Jembe toka kwa  Zarry Edosha akiidondosha kwa stage.
Makampuni wawekezaji Mwanza.
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Stanslaus Mabula (kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa Jembe Media Group & Company Dr. Sebastian Ndege (kulia) wakiteta jambo katika kuboresha na kuhakikisha malengo yanafikiwa.
Watu muhimu Mwanza.
Matukio yalinaswa moja baada ya jingine na ABC.
Jiografia.
Kutoka Gold Crest Hotel Mwanza.
Peter Msechu, Zarry Edosha na Deejay K-Flip.
Kamati.
Kamati.
Jiografia ya Rock City Mall.
Picha ya pamoja na meza kuu.
Kazi mliyotutuma tumeimaliza.
Aksante Dr. Jembe kwa Picha hii Kaliiiiiiiiiiiiii nikiwa na My Brother Kibs.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.