ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, July 12, 2016

PICHA: MAPOKEZI YA TIMU YA TAIFA YA URENO BAADA YA KUSHINDA KOMBE Euro 2016.

Timu ya taifa ya Ureno imewasili Lisbon Ureno wakiwa na Kombe lao la Euro 2016 na wamepata mapokezi makubwa kutoka kwa raia wa nchi hiyo, baada ya kuwasil Ronaldo pamoja na wachezaji wenzake wa Ureno na kutembeza Kombe wakiwa katika basi la wazi.


Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.