ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, July 16, 2016

NECTA Iimetangaza Shule 10 za mwanzo na 10 za mwisho matokeo ya kidato cha 6.

Baraza la mitihani Tanzania(NECTA) imetangaza matokeo ya kidato cha sita 2016, na Kuzitaja shule zilizo fanya vizuri zaidi Kitaifa na zile ambazo hazikufanya vizuri Kitaifa.

Ubora wa shule umepagwa kwa kutumia kigezo cha Wastani wa Pointi (Grade Point Average – GPA) ambapo A=1, B=2, C=3, D=4, E=5 na F=7

Aidha, upangaji wa shule zilizofanya vizuri umezingatia shule zenye idadi ya watahiniwa wasiopungua 30 kama ifuatavyoa:

==>Shule 10 Bora Kitaifa
1. Kisimiri (Government)

2. Feza Boys (Private)

3. Mwanza Alliance Girls (Private)

4. Feza Girls (Private)

5. Tabora Boys (Government)

6. Marian Boys (Private)

7. Kibaha (Government)

8. Mzumbe (Government)

9. Ilboru (Government)

10. Tandahimba (Private)


==>Shule 10  za  Mwisho Kitaifa
1.Mpendae (Unguja)

2.Ben bella ( Unguja)

3.Tumekuja (Unguja) 

4.Green Bird Boys (Kilimanjaro)

5.Jang'ombe (Unguja )

6.Kiembesamaki (Unguja ) 

7.Tanzania Adventist ( Arusha )

8.Al-Ihsan Girls ( Unguja )

9.Azania (Dar es salaam )

10: Lumumba (Unguja

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.