ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, July 17, 2016

MTANZANIA AWEKWA BONDI NA KAKA YAKE KISA MADAWA YA KULEVYA HUKO INDIA. SAMBAZA HABARI HII IWAFIKIE NDUGU ZAKE.

Mtanzania amuweka mdogo wake Bondi kwaajili ya Madawa ya kulevya huko INDIA sasa wenye mzigo wamecharuka wanataka pesa zao hali sio nzuri kabisa kwa mdogo mtu Haya ndio maneno yalio sikika akiyasema Mdogo mtu kwenye Video hii.

“Nakaa Magomeni  Mtaa chem Chem na Idrisa kwa hiyo Mwambieni  Juma, Mama yangu anaitwa Rukia Daudi Baba yangu anaitwa Akida anakaa idrisa na Chem Chem mwambieni  Juma amekula Hela za watu mimi kaniweka Gelenta huku ( Bondi ) mama yangu anaitwa Rukia Daudi, mama yake mama yake Juma anaitwa Mariamu Rauwa kwa hiyo Juma afanye arudishe hela za watu Juma anakaa Kunduchi”. kama unamfahamu huyo Juma mama yake mfikishie ujumbe huu..


Sambaza Habari hii imfikie JUMA na ndugu zake kokote walipo.. 
VIDEO NA MUUNGWANA BLOG

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.