ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, July 8, 2016

MASHABIKI WALALAMIKIA MAVAZI YA SERENA WILLIAMS KITENDO KILICHOPELEKEA KUSHINDWA KUTIZAMA MCHEZO.Baada ya kupata ushindi mkubwa kwenye michuano ya Wimbledon Serena Williams ameanza kupambana tena na kauli za mashabiki kuhusu Chuchu zake za maziwa kuonekana kwenye nguo yake wakati anacheza.

Mashabiki wamelalamika twitter kuwa walishindwa kuangalia mchezo vizuri sababu ya kutazama Chuchu za ‘Serena Williams’
Hata baada ya kuweka rekodi mpya kwenye mechi hio kwa ushindi mkubwa wa muda mfupi kuliko wowote uliowahi kutokea kweye michuano hio kwa kumshinda mrusi Elena Vesnina 6-2, 6-0 ndani ya dakika 49, ila watu bado walilalamikia kifua chake.


Hizi ni picha za kifua chake na tweets za Mashabiki wakilalamika.


Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.