ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, July 5, 2016

Koffi Olomide feat Ferre Gola - Cobetox [Clip Officiel HD]

Baada ya kutengana na miaka kadhaa sasa tangu walipokuwa kundi moja ndani ya Qualter lattin hatimaye Koffi Olomide ameweza kumshawishi mwanamuziki wake wa zamani Ferre Gola na kufanya naye Bonge la Kolabo linaloitwa Cobetox lakini cha ajabu Ferre hajaonekana kabisa kwenye video ya wimbo huo.....

Jeh unataka kujua kisa na mkasa kwa hayo yote yaliyotukia, kwanini imekuwa hivyo? 
Tegea sikio 93.7 Jembe Fm Jumamosi hii ndani ya Saturday Xpress utabaini kitu.

Ukiwa @gsengo featuring @mwakad25 saa 1 asubuhi hadi saa 4 kamili.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.