ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, July 11, 2016

HUAWEI WATOA MSAADA KWA KITUO CHA KULEA WATOTO YATIMA CHA UMRA JIJINI DAR ES SALAAM.

Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Katibu Tawala wa Wilaya ya Kinondoni, Paulina Siara(kushoto),  Manaeja mawasiliano na mahusiano wa Huawei Tanzania, Jimmy Jin Liguo(wa pili kushoto ), Afisa Ustawi wa Jamii Wilaya ya Kinondoni, Veronica John(kulia) na mwakilishi wa Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, Sadick Chuwa(wa pili kulia) wakikabidhi msaada wa vyakula na nguo vilivyotolewa na Kampuni ya Huawei Tanzania kwa mlezi wa Kituo cha kulelea Watoto yatima cha Umra, Riama Kishoma(katikati) kilichopo Magomeni Mikumi jijini Dar es Salaam.
Mlezi wa Kituo cha UMRA, Mama Riama Kishoma akitoa shukrani mara baada ya kupewa msaada wa kituo na Kampuni ya Huawei.
Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.