ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, July 5, 2016

EID MUBARAK KWENU MARAFIKI.

@Regrann from @gsengo - 🎆Eid Mubarak🎆 Kwenu nyote ndugu jamaa na marafiki na mashabiki wetu, tizama sasa mmekuwa ndugu zetu. Mungu mkubwa mmemaliza fungo zenu na Inshahlah mnasherehekea.... Nawasihi sherehekeni kwa amani, usalama na utulivu mkizingatia Nguzo 5...na utii wa kibin-adam. 🎉 "Wabillah Taufiq Wassalamualaikum Warahmatullahi Wabarakatuh " 📢@rainplatnum @harith_jaha @mustafakinkulah @chokadj @bonzbalaa @mbabavc @deejaykflip @dvjfrank @chrissthedj @sir_nature #Regrann

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.