ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, July 5, 2016

CRIS SMALLING WA MANCHESTER UNITED AKIMBIZWA HOSPITALI BAADA YA KULISHWA SUMU.Beki wa kati wa klabu ya Manchester United ya England ambaye pia anachezea timu ya taifa ya England Chris Smalling jina lake limeingia kwenye headlines baada ya kuanguka na kupasuka sehemu ya juu ya jicho la kulia akiwa katika mapumziko yake Indonesia.

Kwa mujibu wa mitandao mikubwa ya habari duniani kama dailymail.co.uk na mingine, imeripoti Smalling kuanguka na kupasuka sehemu ya jicho la kulia baada ya kula chakula ambacho kinatajwa kuwa kilikuwa na sumu.


35F2BAD800000578-3673391-image-a-103_1467648930735
Smalling alikuwa Bali na mpenzi wake Sam Cooke na alianguka na kupelekwa hospitali kupatiwa matibabu, beki huyo mwenye umri wa miaka 26 kwa sasa kichwani kwake kawekwa bandeji kutokana na kuumia sehemu ya juu ya jicho la kulia.

35EF353300000578-3673391-image-m-34_1467626099850

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.