ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, July 4, 2016

HATIMAYE KITWANGA AFUNGUA KINYWA.

Aliyekua waziri wa mambo ya ndani Charles Kitwanga amepongeza juhudi anazofanya rais Dr. John Magufuli kuhakikisha Tanzania inasonga mbele kimaendeleo.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.