ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, July 13, 2016

Bastian Schweinsteiger wa Manchester United afunga ndoa..

363159CD00000578-3686157-image-a-48_1468321274990 - Copy

Bastian Schweinsteiger na mchumba wake, mchezaji wa tennis, Ana Ivanovic wamefunga ndoa 
Schweinsteiger ambaye ni mchezaji wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Ujerumani, amefanikiwa kufunga ndoa Jumanne hii kwenye ukumbi wa Venice City Hall na mchumba wake huyo raia wa Serbia.
36315F0B00000578-3686157-image-a-49_1468321289270 - Copy
36315F0B00000578-3686157-image-a-49_1468321289270 - Copy
Sherehe hiyo imehudhuriwa na ndugu pamoja na watu wa karibu wa familia hiyo akiwemo kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani, Joachim Low, Thomas Muller, Kerber na Andy Murray.
Wawili hao walianza mahusiano mwaka 2014 baada ya Schweinsteiger kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Sarah Brandner waliodumu kwenye mahusiano kwa takriban miaka saba.
36315AF600000578-3686157-image-a-47_1468321259144 - Copy
36315AF600000578-3686157-image-a-47_1468321259144 - Copy

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.