ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, July 8, 2016

AJALI ZA BARABARANI HUUA WATU 9 KILA SIKU.

Dar es Salaam. Imeelezwa kuwa wastani wa Watanzania tisa hufariki dunia kila siku kutokana na ajali za barabarani.

Idadi hiyo inatokana na vifo 1,286 vilivyochagiwa na ajali 4,177, zilizotokea kuanzia Januari hadi Mei mwaka huu.

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga amesema jana kuwa ajali hizo zinajumuisha bodaboda, magari na vyombo vingine vya usafiri.

Mpinga amezitaja sababu za kutokea kwa ajali hizo kuwa ni makosa ya binadamu kwa asilimia 76, makosa yanayotokana na ubovu wa vyombo vya usafiri (16) na makosa yanayotokana na ubovu wa barabara 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.