ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, June 8, 2016

WAKALA WA VIPIMO KUTOA ELIMU KANDA YA ZIWA
Picha zote ni Maafisa wa Wakala wa Vipimo Tanzania, pamoja na wananchi wakati wa utoaji Elimu juu ya Matumizi bora ya mizani ya pamba lakini pia somo hilo linaendelea kwa kuwahimiza wakulima waache kuchafua Pamba kwa kuweka maji kwenye zao hilo. (Picha zote na Iren John wa wakala wa Vipimo nchini)

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.