ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, June 30, 2016

UKAWA WATOKA NJE YA BUNGE WAKIWA NA MAVAZI MEUSI NA MABANGO


Ukawa wakitoka nje ya Bunge wakiwa namevaa mavazi meusi na kushika mabango yenye ujumbe mbalimbali.
Wabunge wa upinzani watoka nje ya Bunge wakiwa wamevaa mavazi Meusi na kubeba mabango yenye ujumbe unaopinga ukiukwaji wa Demokrasia ndani ya Bunge hilo.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.