ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, June 6, 2016

MHE. JANUARY Y. MAKAMBA (MB), WAZIRI WA NCHI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO NA MAZINGIRA) AHITIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI NA WANANCHI WA DSM.

 Mhe. January Makamba akisalimiana na balozi wa umoja wa Ulaya Tanzania Bw. Roeland Van De Geer muda mfupi kabla ya kuanza kwa msafara wa baiskeli.
 Mhe. January Makamba akisalimiana na baadhi ya washiriki katika msafara wa baiskeli
Mbio za baiskeli
 Mhe. January Makamba jana alipata nafasi kuwa mgeni wa heshima katika cycling caravan ambapo iliandaliwa na umoja wa waendesha baiskeli (UWABA), ambapo msafara huo wa baiskeli ulianzia Kidongo chekundu Mnazi Mmoja. Ambapo baada ya hapo Mhe. January Makamba alihudhruia Maazimisho ya Siku ya Mazingira duniani kwa Mkoa wa Dar  es salaam yaliyofanyika viwanja vya Mwembe Yanga wilayani Temeke.
 Mhe. January Makamba akifurahia jambo na mwenyekiti wa ccm mkoa wa  Dar es Salaam Mhe. Ramadhani Madabida mara baada ya kuwasili viwanja vya Mwembe yanga.
 Mhe. January Makamba akihutubia watanzania waliojitokeza viwanjani hapo
Tukio baada ya tukio.
 Usafi na vitendea kazi
 Akifurahia Jambo na vijana wa Youth CAN waliokuwa wakitubwiza katika siku ya mazingira Duniani.
 Akitembelea kwenye mabanda mbalimbali ya maonyesho.
 Akitembelea kwenye mabanda mbalimbali ya maonyesho.
 Akipata mafunzo ya zima moto .
akizungumza na wandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa shuguli.

Picha Zote zimepigwa na IMANI SELEMANI NSAMILA

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.