ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, June 19, 2016

BAADA YA JOSE MOURINHO KUCHUKUWA MADARAKA SASA MANCHESTER UNITED WAMUONYESHA RYAN GIGS MLANGO WA KUTOKEA

Louis van Gaal and Ryan Giggs
Ryan Giggs yuko mbioni kuondoka katika benchi la ufundi mara baada ya Jose Mourinho kuchukua rasmi madaraka ndani ya Manchester United, anatazamiwa kuchomoka na kuelekea kwingineko akajishughulishe na masuala ya soka au kufanya  huduma nyingine. 
Mkongwe huyo wa United awali alikuwa msaidizi wa David Moyes na kisha baadaye chini ya Louis van Gaal, lakini safari hii imeonekana wazi kuwa kuwa hazitoiva kiufundi wala klabu hiyo kuwa na utofauti unaosakwa kwa kila hali na Mashetani Wekundu akiwa benchi moja la ufundi na Mourinho.
United wanajiandaa kutoa taarifa hizo siku chache zijazo baada ya mkongwe huyo naye kuonesha wazi kuwa hayuko tayari kuendelea kutumika ndani ya Old Trafford. Mreno huyo ana kila dalili ya kushuka Old Trafford na full skwadi ya safu yake ya ufundi hali inayo msababisha Giggs kutoona gepu la kuwa karibu na Mourinho.

Mkali huyo mwenye umri wa miaka 40 hana uzoefu wa kutosha kufundisha soka ngazi ya juu, zaidi ya kujivunia mwezi mmoja tu kuliongoza jahazi la Mashetani Wekundu mara baada ya Moyes kutimuliwa.
Giggs wanted to be considered for the full position as manager after Van Gaal's departure but was unable to compete with the credentials of Mourinho, especially with the Red Devils struggling in the last three seasons in securing a top four spot, despite winning the FA Cup after a 12-year wait. However, one person who will see Giggs leave is Paul Scholes, part of the famous Class of 92 who went on to become legends.
"I've not spoken to him for a few days but hopefully he will still be involved," Scholes toldTalksport. "He's got great experience, he knows the club inside out.
"I think everybody involved with the club and the fans especially would love him to be involved in some way - whether it is assistant or just helping him [Mourinho] being around the place. He has been there for nearly 30 years now, he knows the players, he knows what type of football is expected and hopefully he can be of assistance somehow," he added.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.