ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, June 14, 2016

LIPUMBA ATENGUA UAMUZI WA KUJIUZULU.

Aliyewahi kuwa mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Prof. Ibrahimu Haruna Lipumba atengua maamuzi yake ya kujiuzulu katika chama hicho na kuamua kurejea tena.

Mwanasiasa huyo mkongwe na mtaalamu wa uchumi amesema ameandika barua kwenye uongozi wa chama hicho ili arejeshwe kwenye nafasi yake aliyojiuzulu miezi kumi iliyo pita. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.