ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, June 10, 2016

KAMA UNA SURA MBAYA BASI HILI HAPA DILI..TOKA JEMBE FM NA STARTIMES.!!

🎭Kwa mfano yaani ☀Haya haya!! wale wenye *sura mbaya* SURA SURAMBI tyme yenu hii kujinyakulia mijizawadi toka @jembefm kwa hisani ya #starTimesTZ na piaaaaa kama unakipaji cha kupiga ⚽danadana ma100 fLANi hivi, basi Jumatatu 13 June, saa 9 alasili, Stand ya Igoma ndiko tutakapo anzia... Vigezo na masharti tupa kule.... Kwani hata kama kuna prizenta wa Jembe anayeamini kuwa ana sura mbaya anaruhusiwa kutinga shindanoni.... Tukutane pale!! #suRaMbayaJembeFM ☀☀☀🎭✅@bonzbalaa @mbabavc @chrissthedj @okeleky @bobwhite_pamba = bado hamjamuona @gsengo

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.