ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, May 9, 2016

MIJADALA YA BUNGE LEO.


Mbunge wa Ndada Mhe.Davidi aamua kuitolea serikali uvivu kufuatia wanawake kituo cha Chiwale kujifungulia kwenye wodi za kawaida.

Mhe.Riziki Shahari aihoji serikali juu ya wajawazito kuzalishwa na wataalam wa kiume ikilinganishwa na mila na desturi za Kiafrika.           


Mbunge wa Muheza Mhe.Adad aitaka serikali kueleza lini itajenga viwanda Muheza ili wakulima waweze kunufaika na mazao yao. 


Je ni lini serikali itaacha kuagiza toothpick kutoka nje? Sikiliza jinsi Mhe.Mwijage anavyodadavua majibu ya swali hilo.     


Sikiliza alichokisema Mhe.Nape Nauye alivyoelezea dhamira ya serikali juu ya ujenzi wa vituo vya michezo ya riadha mkoani Manyara.    

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.