ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, May 19, 2016

PICHA MWANZA INAVYOSOMEKA KUELEKEA JEMBEKA FESTIVAL 2016.

Mitaa ya mataa....ishakuwa hivi.
Mwananchi Communication ni sehemu ya uwezeshaji JEMBEKA FESTIVAL 2016.
Baraka Da Prince.
Yuleee Juma Nature kunako bango mbele ya Mkombozi bank Mwanza.
Kona ya kuingia Salma Cone Mwanza.
Mkurugenzi wa Jembe Media Group na Jembe Ni Jembe Dr. Sebastian Ndege akiwa na Waziri wa Fedha Jembe Fm Bi. Lilian Lambo, PAMOJA SANA.
Daraja la Makufuli na muonekano wake usiku mbele ni Official Jembeka Dj wakuitwa Dj Jacko.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.