ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, May 23, 2016

NEYO ALIVYOPAGAWISHA JEMBEKA FESTIVAL 2016 MWANZA TANZANIA. PART 3

Mwanamuziki Neyo kutoka nchini Marekani akitumbuiza kwenye jukwaa la Tamasha kubwa la Burudani nchini linalofanyika mara ya pili sasa Jembeka Festival lililofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza na kuhudhuriwa na maelfu ya mashabiki toka sehemu mbalimbali ulimwenguni.
Hisia zaidi.
Jembeka Festival na Neyo.
Macho yote yalielekezwa jukwaani.
Neyo.
Feeling ...
Maelfu ya mashabiki ndani ya Jembeka Festival chini ya ulinzi madhubuti wa Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza na huduma za dhati katika matibabu na huduma ya kwanza toka kwa CF Hospital ya jijini hapa.
Michael things......
Mikono kwa hewa ndani ya Jembeka Festival 2016.
Kwa mara ya kwanza Neyo alifanya utambulisho wa single yake mpya aliyofanya na mwanamuziki toka nchini Tanzania  Diamond Platnumz.
Hisia zinaporandana....katika ngoma ya pamoja  yenye ladha ya muziki toka Afrika.
Pale Neyo alipomkubali Diamond Platnumz.
Ilikuwa no shukurani 'Thanx Bro'
Mashabiki wa Jembeka Festival 2016 walikuwa na amsha amsha za kipekee bila kuwa na purukushani zisizokuwa na maana.
Hapa ni kama kipande cha eneo la VIP ambapo wageni nao walijimix Ku-Jembeka.
Hisia.

Funga kazi Neyo alipata sapoti toka kwa wanamuziki wake ambao walipanda na kumpa sapoti katika kumalizia show.
Aksante.
Team Jembeka toka Jembe FM Mwanza waliketi hapa na kula bata.
Meneja wa Villa Park Mwanza Rammadhani akiwa na mkewe.
TMC.
Fid Q.
Fid Q na anga zake Jembeka 2016 Mwanza.
Nice one...
Hapa wakali wa Hip-Hop walikutana na kutengeneza ligi Stamina (L) na Fid Q (kulia)
Hatariiiii.
Watu walisubiri hadi mida ya mbele kuhakikisha mkali wao Sir Juma Nature anapanda kwa stage na kuifaidi burudani yake.
Hatariiiii.
Another pic of Juma Nature.
Team Jembeka ilipanda kumpa sapoti Juma Nature wakati akifanya yake.
Mapanga...
Hapa vipi
Poz
Ilikuwa pia ni maadhimisho ya mwaka mmoja wa Jembe Fm, hivyo Sir Juma Nature  akiwa na Richie One ndiye aliyepewa dhamana ya kukata keki na kuwalisha baadhi ya wadau wa tukio. 
Mkurugenzi wa Jembe Media Group Dr. Jembe akilishwa keki na Sir Juma Nature.
Fid Q ndiye aliyekuwa Mc kuongoza tukio la kukata keki na kufurahia utamu wake.
hapa kulikuwa na kitu muhimu kilichokuwa kikiedelea kwa jukwaa la Jembeka Festival 2016.
Sikudhani kama #JembeFamiliy imebarikiwa vipaji zaidi kiasi hiki...eh bana eeeh kumbe kuna Ma-vijana yana karama zaidi ya zile za kuombea ajira.....!!? Hapa Mkurugenzi wa Jembe Media Group Dr. Ndege akipokea picha iliyochorwa na dereva mkuu wa Jembe FM Rammaa aka 'Chaliiangu'
Moment adimu xana.
Colour of the area.
Pamoja sana.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.