ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, May 3, 2016

NAPE ASEMA UAMUZI WA KUANZISHA STUDIO YA BUNGE ULIPITISHWA KABLA HAJAWA WAZIRI.


MWANZA: Waziri wa Habari, Nape Nnauye asema uamuzi wa kuanzisha Studio ya Bunge ulipitishwa na Bunge lililopita kabla hajawa Waziri.
Nape ameyasema hayo leo asubuhi wakati akizungumza na wandishi wa habari na wawakilishi wa vyombo mbali mbali nchini, katika kufunga mkutano wa mwaka na maadhimisho ya uhuru wa vyombo vya gari unaofanyika kitaita Hotel Makaika ambapo Nape alisimama kama Mgeni rarsmi.
Amesema anaweza kukaa mezani na wadau kuamua upya na kuona namna bora ya kuboresha suala urushaji wa matangazo ya Bunge
Amesema maoni ya wadau juu ya maboresho ya Muswada wa Vyombo vya Habari yatafanyiwa kazi. Amesema wanatunga sheria kwa ajili ya watu.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.