ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, May 24, 2016

MJUMBE WA KAMATI KUU CHADEMA MH. LOWASSA AWATAKA WANANCHI KUWA NA IMANI NA CHADEMA.


Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema na waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa amewataka watanzania kuwa na imani na Chadema chama chenya watendaji waadilifu kwani hata katika halmashauri na majimbo yanayoongozwa na Chadema yamekuwa mfano bora kwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.