ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, May 24, 2016

MIJADALA YA BUNGENI


Mbunge wa Mchinga Mhe.Hamidu Bobali aihoji serikali juu ya uhaba wa shule za sekondari  mkoani Lindi jambo linalosababisha wanafunzi kusoma mbali.  Sikiliza mpango wa serikali ya kuipatia halmashauri  mpya ya Kavuu ambayo mapato yake bado ni madogo mawasiliano ya barabara.  Je ni lini serikali itatekeleza mpango wa kujenga zahanati katika kila kijiji na hospitali kila wilaya? Haya hapa majibu ya serikali.  Mhe.Luhaga Mpina awataka wabunge kuwa mfano kwa jamii kwa kushiriki katika usafi wa mazingira na kutunza mazingira kwa ujumla.  

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.