ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, May 2, 2016

MIJADALA YA BUNGE HOSPITALI YA SEKOUTOURE MWANZA YAZUNGUMZWA HII LEO.

Mhe.Dt. Mary Nagu aililia seriakli juu ya upungufu wa watumishi wa afya pamoja na vifaa tiba katika wilaya ya Hanang.


Mbunge wa Korogwe mjini Mhe.Chatanda aihoji serikali juu ya kuunganisha mji wa Korogwe na viunga vyake katika gridi ya taifa; 


Mhe.Makilagi aibana wizara ya fedha juu ya ucheleweshaji wa fedha za miradi ya maendeleo kutotolewa kwa wakati kwa wananchi. 


Mh. Jafo akijibu swali la Mbunge wa viti maalum Mhe.Kemilembe kuhusiana na ununuzi wa vifaa tiba katika hospitali ya Sekouture.


Mh.Marwa mbunge wa Serengeti asimamia kidete ujenzi wa miundombinu katika hifadhi ya mbuga ya Serengeti.

SIMU.TV:  Mhe. Masala aitaka serikali kueleza hatma ya tafiti za madini zinazofanywa na makampuni tofautitofauti wilayani Nachingwea; https://youtu.be/dMMtGhHpCvM  

SIMU.TV:  Mh.Ester Matiko aitaka serikali kutoa maelezo ya kina juu ya wananchi wa kata za Tarime ambao hawakulipwa fidia za ardhi yao; https://youtu.be/edcSd-IKYZE

SIMU.TV:  Suala la wananchi wanaougua ugonjwa wa saratani kuchelewa kupatiwa huduma katika hospitali ya Ocean Road laibuliwa bungeni; https://youtu.be/SlOr_OkfX3E

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.