ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, May 18, 2016

MIJADALA YA BUNGE HII LEO> MBUNGE WA MAGU AHOJI SERIKALI KUHUSU AFYA, BULAYA AISHUKIA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII.

Mbunge wa Magu Mhe. Kiswaga aihoji serikali juu ya upandishaji hadhi wa kituo cha afya cha Kisesa kuwa hospitali kamili.  


Je serikali ipo tayari kutenga maeneo kwa ajili ya vijana na akina mama kwa ajili ya shughuli za ujasiliamali na kilimo.  


Je Serikali imepokea kiasi gani cha fedha toka kwa wafadhiri ili kupunguza athari za mabadiliko ya tabia ya nchi? Mhe. Mpina ajibu  


Mh.Esther Bulaya achoshwa na hali ya wananchi wa vijiji vya Guta,Tairo,  Nyamtare na Nyambehu kuvamiwa na  mamba, aitaka serikali kuwajibika.  


Mbunge wa Tunduma Mh.Frank Mwakajoka aitaka serikali kupeleka huduma za zima moto wilayani humo ili kuokoa mali za wafanyabiashara.  

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.