ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, May 18, 2016

MICHORO NA RAMANI JEMBEKA FESTIVAL 2016 JUMAMOSI HII TAYARI IKO MIKONONI.

 Naam "Michoro na ramani na zifanyiwe kazi sasa" Eneo la tukio ni CCM Kirumba jumamosi hii Tamasha kubwa la burudani kuungurumishwa hapa. Neyo Diamond Platnumz, Fid Q, Baraka Da Prince, Mo Music, Maua Sama, Ney wa Mitego, Mr. Blue, Young Rafa, Biznea, Stamina, Juma Nature, Cool Chatter, Jimmy Chansa, Future JNL, Mc Coyo, JJ Band, Skylight Band na wengine kibao kuwa sehemu ya wamwaga burudani.
Vijana wa kazi toka Jembe Media Group.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.