ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, May 2, 2016

MFUKO WA PENSHENI WA PPF WATOA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2015, RAIS MAGUFULI AMKABIDHI CHETI NA KITITA CHA SH. MILIONI TANO

 Rais Dkt. John Magufuli,  akimkabidhi cheti cha mfanyakazi bora wa mwaka 2015 Enock Kalege, na zawadi ya Sh. milioni 5 iliyotolewa na Mfuko wa Pensheni wa PPF kwa mfanyakazi huyo bora wa mwaka, wakati wa Kilele cha sherehe za Mei Mosi zilizofanyika Kitaifa mkoani Dodoma jana,Mei 1,2016. Picha na Mpiga Picha Wetu.

02:- Kutoka kushoto, ni Kaimu Murugenzi wa Bernard Konga,Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni PPF, William Erio na Mkurugenzi Mkuu wa LAPF Eliud Sanga, wakiwa katika sherehe za Mei Mosi Mkoani Dodoma jana, Picha na Mpiga Picha Wetu

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.