ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, May 23, 2016

MAPINDUZI MAKUBWA YAONEKANA JEMBEKA FESTIVAL 2016 PART 2

Mkurugenzi mtendaji wa Jembe Media Group, Dr. Sebastian Ndege akizungumza jambo kabla ya kuwatambulisha wageni waheshima walioshiriki kwenye Jembeka Festival 2016.
Ni Diamond Platnumz akichonga na wastaarabu wa Mwanza katika stage la Jembeka Festival 2016.
Ni Diamond Platnumz kwa stage la Jembeka Festival 2016 hapa walikuwa wakifanya ushindani na Ney Wa Mitego juu ya mada Mapenzi Pesa au Mapenzi ma-ufundi.
Moja kati ya tumbuizo za kuvutio kwa stage mwaka huu ni kutoka kwa Diamond Platnumz kwa stage la Jembeka Festival 2016.
Ni Diamond Platnumz kwa stage la Jembeka Festival 2016.
"Nasema nao" ya Diamond Platnumz kwa stage la Jembeka Festival 2016.
Toka umbali flani na muonekano wa stage la Jembeka Festival 2016.
Watu weweeeee....!!!
Edu Boy kwa stage la Jembeka Festival 2016.
Mtangazaji wa Jembe Fm ambaye yu mmoja kati ya wababe waliosimamia show Mbaba Vc kwa stage la Jembeka Festival 2016.
Team Kazi na Ngoma kwa utambulisho kutoka kushoto ni Mansour Jumanne, Mary Kimiti, GSengo na Dj Frank kwa stage la Jembeka Festival 2016.
Kuna mtu kaibiwa.
Mtangazaji wa Jembe Fm ambaye yu mmoja kati ya wababe waliosimamia show Bonz Balaa kwa stage la Jembeka Festival 2016.
Maua Sama kwa stage la Jembeka Festival 2016.
Maua Sama iz the Best kwa stage la Jembeka Festival 2016.
She did it with full.....
Ruby alitikisa kwa muonekano na hit song zake stage la Jembeka Festival 2016.
Kwa usimamizi kuhakiki ubora wa tukio.
Mr. Blue kwa stage la Jembeka Festival 2016.
Mr. Blue.
Deejay K-Flip
Aksante Mwanza kwa utulivu 'I Love Rock City'
Ney wa Mitego.
Ney wa Mitego na muonekano kwa stage la Jembeka Festival 2016.
Bad Man.
'Selfie' kutoka kushoto ni Edgar Mapande, Dr. Mamba na Gsengo
The area na vibe.
Picha linaendelea.......

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.