ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, May 20, 2016

DIAMOND PLATNUMZ ATUA RASMI MWANZA KWAAJILI YA JEMBEKA FESTIVAL 2016.

Mtangazaji wa Jembe Fm Jacqueline Shuma Kushoto akitangaza kuhusu ujio wa Diamond Platnum na mapokezi yake katika uwanja wa Ndege wa Mwanza leo asubuhi.
Diamond Platnumz akizungumza na waandishi wa Habari mara tu baada ya kutua uwanja wa ndege wa Mwanza majira ya saa tano na nusu hii leo.
Mahojiano zaidi.
Salaam na Mwanza mapema asubuhi leo.
Watu na watu wao.
Hatua kwa hatua.
Tabasamu full kiwango tutoka kulia ni Harith Jaha, Bob White Pamba (katikati) na Mo-Tajiri (kushoto) wakifurahia jambo wakati wa mapokezi ya mwanamuziki Diamond Platnumz uwanja wa ndege wa Mwanza. 
Wadau wa Utalii Mwanza wameshiriki vyema kutupa sapoti katika Jembeka Festival 2016 TANAPA oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Pamoja sana.
Ni watangazaji wa Jembe Fm Media kutoka kushoto ni JJ - Hot Stage, CoolChatter, Oxy Okeleky, Dj Jacko, Harith Jaha na Jacqueline Shuma.
WCB Mwanza.
Hatariiiiiii.....
Kesho mapema asubuhi kabla ya Tamasha kubwa la Jembeka kuanza, Jembe Media Group itaungana na Flaviana Matata Foundation katika ibada ya kumbukumbu ya ajali ya kuzama kwa MV Bukoba yapata miaka 20 iliyopita.
Maubize na teknolojia.........#JembeFamily
Mtangazaji wa Jembe FM kipindi cha Kazi na Ngoma Mansour Jumanne akifanya mahojiano na Meneja wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Salum Ck. mata tu baada ya kutua jijini Mwanza kwaajili ya Tamasha kubwa la burudani Jembeka Festival 2016.
Msafara wa Diamond Platnum ambao ilibidi ubadilishiwe ruti na kuzuiliwa kupita katikati ya mji kutokana na kuhofia ungeweza kusitisha shughuli za kila siku za kiuchumi hivyo ukaelekezwa kuelekea moja kwa moja Hoteli aliyofikia ambayo iko karibu na uwanja huo.
Muonekano nje ya Hotel Malaika jijini Mwanza mara baada ya Diamond Platnumz kutua.
Diamond thing.....
Diamond akielekea Hotelini...
The view inside.
Hatua kwa hatua...
Jembeka 
@johnwhittjr
@johnwhittjr
@johnwhittjr
Mapema kabla ya stage kupanda....
Ramani mambo yote 21May2016 hapa CCM Kirumba.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.