SIMU.TV: Makatibu tawala 12 wa mikoa mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni wala kiapo cha utii katika ukumbi wa ikulu jijini Dar es salaam,
SIMU.TV: Ni kiapo cha utii na uaminifu katika utendaji wa kazi walizopangiwa ikiwa sambamba na utimizaji wa matakwa ya falsafa ya Hapa kazi tu.
SIMU.TV: Makatibu tawala walioapishwa hii leo watoa ahadi ya uadilifu kuwa hawatakwenda kinyume na kiapo walichokula mbele ya rais Magufuli.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.