TBC:
Uganda kujenga bomba la mafuta Tanzania. Wasomi wahoji ububu wa Ukawa,
Watumishi hewa tishio, Ukawa wapondwa. Tazama magazeti.
CHN10:
PAC yaikomalia Lugumi, Aliyejilipa mishahara 17 afukuzwa, Serikali
yaijibu Ukawa, Watumishi hewa tishio, Fuatilia magazeti ya leo.
MLIMANI
TV: Ukawa yasema Magufuli anaihujumu, Jipu la watumishi hewa laiva,
Ukawa wapondwa, RC apinga idadi ya watumishi hewa, kamati yaundwa
kuichunguza Lugumi, Sukari yapaa. Pata uchambuzi wa kina wa magazeti ya
leo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.