ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, April 25, 2016

MAGAZETI YA LEO> TAKUKURU YACHUNGUZA MABILIONI KIKWETE. HOJA KUWABANA UKAWA YAIBUKA. UJENZI USIOFUATA SHERIA WALALAMIKIWA OYSTERBAY.


Takukuru yachunguza mabilioni ya Kikwete. Hoja kuwabana Ukawa yaibuka.  Ujenzi usiofuata sheria walalamikiwa Oysterbay; 


Wahariri kulivaa bunge urushwaji  wa matangazo. Bomba la mafuta Uganda kuingiza mabilioni nchini. Ripoti ya CAG kuwasilishwa leo.  


Kubenea acharuka bajeti jiji la Dar kupelekwa bungeni. Mtanzania auawa kwa risasi Marekani. Wabunge waichunguza Lugumi kwa mafungu.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.