SIMU.TV: Rais Magufuli avunja bodi ya TCRA, asamehe wafungwa 3551.Bunge,PAC wavutana uchunguzi wa Lugumi. TMA yatabiri mvua kubwa,upepo mkali.
SIMU.TV: Rais azindua kiwanda mfu. Ripoti ya CAG yafichua majipu kila mahali nchini. Mbarawa atoa wiki mbili barabara ya Morocco –Mwenge.
SIMU.TV: Bashe aanika madudu elimu, ataka tume ya rais ichunguzwe.Ya Escrow yainyemelea DART. Ukerewe yanasa watumishi hewa 45.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.