ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, March 20, 2016

ZANZIBAR WAPIGA KURA.


Wananchi wa visiwani Zanzibar wajitokeza kuwachagua viongozi wao katika uchaguzi mkuu wa marudio uliofanyika hii leo visiwani humo.
Inaelezwa kuwa zoezi la kuhesabu kura  ili kupata mshindi katika uchaguzi mkuu wa marudio ulifanyika hii leo  visiwani Zanzibar limeendelea vyema.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.